Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani.
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - 04 - 1435 هـ
04 - 02 - 2014 مـ
05:12 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=131310

ــــــــــــــــــــ

ناصر محمد اليماني يستعيد نشاطه الدعويّ من بعد الشفاء بإذن الله
{ وَإِذَا مَرِضْتُ فَهُوَ يَشْفِينِ }
صدق الله العظيم
Nseer Muhammad Alyamani anarudisha nasht shuguli yake ya ulinganizi bada kupata shifa kwa uwezo wa Allah {nikigonjeka basi yeye ndio anae nipa shifa} sadaqa Allah Al3adhim

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Sa sala na salam kwa wote manabi wa Allah na Mitume wake wote katika majini na watu na katika kila jinsi na ahli zao walokirimiwa na kwa walio fata ulinganizi wao wakumwabudu Allah peke yake hana mshirika, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala.
{ hakika wote walioko katika mbingu na ardhi ila ni waja kwa Arrahman (93) hakika tayari amiwahisabu hisabu timamu (94)} Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam]
{إِن كُلُّ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ إِلَّا آتِي الرَّحْمَـٰنِ عَبْدًا ﴿٩٣﴾ لَّقَدْ أَحْصَاهُمْ وَعَدَّهُمْ عَدًّا ﴿٩٤﴾ } صدق الله العظيم [مريم].


Na umma zote ni waja wa Allah kile kinacho tembea na kinacho ruka,
;kusadikisha kwa kauli ya Allah ta3ala
وَمَا مِن دَآبَّةٍ فِي الأَرْضِ وَلاَ طَائِرٍ يَطِيرُ بِجَنَاحَيْهِ إِلاَّ أُمَمٌ أَمْثَالُكُم مَّا فَرَّطْنَا فِي الكِتَابِ مِن شَيْءٍ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِمْ يُحْشَرُون } صدق الله العظيم [الأنعام:38]
{ Na hapana kinacho tembea daaba katika ardhi, wala ndege anaye ruka kwa mbawa zake mbili, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am:38].
Na wote ma umma ni waja wa Allah kinacho tembea na kinacho ruka.
Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ Na hapana kinacho tembea daaba katika ardhi, wala ndege anaye ruka kwa mbawa zake mbili, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am:38].
{ وَمَا مِن دَآبَّةٍ فِي الأَرْضِ وَلاَ طَائِرٍ يَطِيرُ بِجَنَاحَيْهِ إِلاَّ أُمَمٌ أَمْثَالُكُم مَّا فَرَّطْنَا فِي الكِتَابِ مِن شَيْءٍ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِمْ يُحْشَرُون } صدق الله العظيم [الأنعام:38]
Na umma wote walio amini wanamsabeh Allah katika kila jinsi, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala
{ Na hapana kitu ila kinamtakasa kwa sifa zake. Lakini nyinyi hamfahamu kutakasa kwake. Hakika Yeye ni Mpole na Mwenye maghfira} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:44].
{ وَإِنْ مِنْ شَيْءٍ إِلَّا يُسَبِّحُ بِحَمْدِهِ وَلَكِنْ لَا تَفْقَهُونَ تَسْبِيحَهُمْ إِنَّهُ كَانَ حَلِيمًا غَفُورًا } صدق الله العظيم [الإسراء:44]
Basi mcheni Mola wenu enye waja wa Allah katika ma umma zote kinacho tembea na kinacho ruka, Na huwenda moja katika waulizaji anataka kusema; "Ewe Naseer Muhammad, Je si kila umma mbali na watu ni wanamcha Allah, Ama wako kati yao wema na waovu na mashetani?", Ndio kutoka hapo nawapa fatwa wanao uliza na nasema: Hakika katika kila umma wako wema na walopotea na mashetani kwa kuwa ni ma umma kama watu na majini wako wema na wako chini ya hapo na wako kati yao mashetani kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala
{ Na hapana kinacho tembea daaba katika ardhi, wala ndege anaye ruka kwa mbawa zake mbili, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am:38].
{ وَمَا مِن دَآبَّةٍ فِي الأَرْضِ وَلاَ طَائِرٍ يَطِيرُ بِجَنَاحَيْهِ إِلاَّ أُمَمٌ أَمْثَالُكُم مَّا فَرَّطْنَا فِي الكِتَابِ مِن شَيْءٍ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِمْ يُحْشَرُون } صدق الله العظيم [الأنعام:38]
Na tutapiga mfano kwenu kwa hayo mfano umma wa ma ndege.
Amisema Allah Ta3ala
{ Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu vinamtakasa vilivyomo katika mbingu na ardhi, na ndege wakikunjua mbawa zao? Kila mmoja amekwisha jua Sala yake na namna ya kumtakasa kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo(41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].
{ أَلَمْ تَرَ أَنَّ اللَّهَ يُسَبِّحُ لَهُ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالطَّيْرُ صَافَّاتٍ كُلٌّ قَدْ عَلِمَ صَلَاتَهُ وَتَسْبِيحَهُ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ (41) } صدق الله العظيم [النور]
Na kwa Mola wao wanakusanywa. kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala
{Na hapana kinacho tembea daaba katika ardhi, wala ndege anaye ruka kwa mbawa zake mbili, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alan3am:38].
{ وَمَا مِن دَآبَّةٍ فِي الأَرْضِ وَلاَ طَائِرٍ يَطِيرُ بِجَنَاحَيْهِ إِلاَّ أُمَمٌ أَمْثَالُكُم مَّا فَرَّطْنَا فِي الكِتَابِ مِن شَيْءٍ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِمْ يُحْشَرُون } صدق الله العظيم [الأنعام:38]
Kwakuwa Allah ndio atakae kuwafanyia hisabu ma umma kwa matendo yao, kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu vinamtakasa vilivyomo katika mbingu na ardhi, na ndege wakikunjua mbawa zao? Kila mmoja amekwisha jua Sala yake na namna ya kumtakasa kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo(41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].
{ أَلَمْ تَرَ أَنَّ اللَّهَ يُسَبِّحُ لَهُ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالطَّيْرُ صَافَّاتٍ كُلٌّ قَدْ عَلِمَ صَلَاتَهُ وَتَسْبِيحَهُ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ (41) } صدق الله العظيم [النور]


Na labda anataka kusema moja kati ya wale wana uvivu wa kusoma na wala hawapeleleIzi kwa kina ila kidogo wao kutaka kusema; "Ewe Naseer Muhammad Al'Yamani, Kwanini unarudia kukopi aya hizo kwa hizo mara kwa mara katika bayana moja?". Na kutoka hapo anwajibu wavivu Alimam Almahdi Naseer Muhammad na nasema; Ewe wewe mvivu, Pindi ukiniona naziweka aya nazirudia mara kwa mara kwakuwa bado iko na ushuhuda katika sehemu ya hilo jambo basi tafakari na peleleza kwa kina mpaka upate hikma yake, Almuhimu katika kila hali hakika kurudia aya mara kwa mara kukopi aya hi ni kuwa bado kuna ushuhuda ya hisabu ju ya ma umma katika mikono ya Mola Mlezi, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu vinamtakasa vilivyomo katika mbingu na ardhi, na ndege wakikunjua mbawa zao? Kila mmoja amekwisha jua Sala yake na namna ya kumtakasa kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo(41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].
{ أَلَمْ تَرَ أَنَّ اللَّهَ يُسَبِّحُ لَهُ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالطَّيْرُ صَافَّاتٍ كُلٌّ قَدْ عَلِمَ صَلَاتَهُ وَتَسْبِيحَهُ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ (41) } صدق الله العظيم،

Na ushuda ya hisabu kwa ma umma wote kinacho tembea na kinacho ruka ni katika kauli ya Allah Ta3ala;
{Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu vinamtakasa vilivyomo katika mbingu na ardhi, na ndege wakikunjua mbawa zao? Kila mmoja amekwisha jua Sala yake na namna ya kumtakasa kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo(41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].
{ كُلٌّ قَدْ عَلِمَ صَلَاتَهُ وَتَسْبِيحَهُ ۗ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ (41) } صدق الله العظيم. فتدبروا قول الله تعالى: { وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ (41) } صدق الله العظيم.
.peleleza kauli ya Allah Ta3ala;
{Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo(41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].
{ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ (41) } صدق الله العظيم
Kwa mana kuwa kwa Mola wao maregeo na kwake hisabu subhanahu!!
Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala akisema
{Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo(41)} Sadaqa Allah Al3adhim
{ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ (41) } صدق الله العظيم
Kama mfano wa ndege wako wema kama mfano wa yule ndege alio sema:
{ Nimemkuta yeye na watu wake wanalisujudia jua badala ya Mwenyezi Mungu; na Shet'ani amewapambia vitendo vyao na akawazuilia Njia. Kwa hivyo hawakuongoka (24) Na hawamsujudii Mwenyezi Mungu ambaye huyatoa yaliyo fichikana katika mbingu na ardhi, na anayajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza (25) Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Mola Mlezi wa A'rshi tukufu (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].
{ وَجَدْتُهَا وَقَوْمَهَا يَسْجُدُونَ لِلشَّمْسِ مِنْ دُونِ اللَّهِ وَزَيَّنَ لَهُمُ الشَّيْطَانُ أَعْمَالَهُمْ فَصَدَّهُمْ عَنِ السَّبِيلِ فَهُمْ لَا يَهْتَدُونَ (24) أَلَّا يَسْجُدُوا لِلَّهِ الَّذِي يُخْرِجُ الْخَبْءَ فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَيَعْلَمُ مَا تُخْفُونَ وَمَا تُعْلِنُونَ (25) اللَّهُ لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ رَبُّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ (26) } صدق الله العظيم [النمل]
Na labda anataka moja katika waulizaji kusema: "Yupi katika mashetani wa kindege?!" Alafu tunampa jibu kwa haki bila dhulma na nasema; Hakika mashetani katika majini na watu na k

ila jinsi hawazai ila mpotofu mwenye kukufuru, Na mashetani ndege hawazai ila wapotofu wenye kukufuru; Ni yule ambae anae itwa ndege Alwiqwaq masoko ndege, Na tunaharamisha kumla kwakuwa nyama yake ni khabithi hata kama hana makucha, Basi yeye amiharimishwa kumla.

Ala kuli hali enye ma3ashara Alansar Alsabiqina Alakhyar
Katika zama za hiwar mazungumzo kabla ya kudhihirika, Basi wawe katika nyinyi wanaume wanatangaza na kusambaza ulinganizi usiku na mchana na wao hawachoki wala hawasinywi, Na enye ma3ashara Alnsar Mulokirimiwa kuweni vipenzi wa Allah watu wa Mungu walokita katika njia ilio nyok hawatoweza ma baba zao na mama zao na wake zao katika wale wanao wambia wao: "Tuchaguwe ama mchaguwe Naseer Muhammad Alyamani"! Na haikuwa jibu lao ila wamisema; "Tumichaguwa Allah na Mtume wake na khalifa wake" Na wala hawakubadilika kamwe; Wale ndio qaum walisadikisha Ahdi yao kwa Mola wao, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Miongoni mwa Waumini wapo watu walio timiza waliyo ahidiana na Mwenyezi Mungu. Baadhi yao wamekwisha kufa, na baadhi wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:23].
{ مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ رِجَالٌ صَدَقُواْ مَا عَاهَدُواْ اللَّهَ عَلَيْهِ فَمِنْهُمْ مَّن قَضَى نَحْبَهُ وَمِنْهُمْ مَّن يَنتَظِرُ وَمَا بَدَّلُواْ تَبْدِيلاً } صدق الله العظيم [الأحزاب:23


Kwakuwa Allah huwenda akwajaribu ju ya habari zenu na kuchuja kiliomo ndani ya vifuwa venu akawafanyia mitihani kwa majahili kutokana walioko karibu na nyinyi katika familia zenu wale wanao kutaka uchaguwe kati yao na Naseer Muhammad Alyamani, Ama awafanyie ibtila kwa ma aduwi zenu, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Na bila ya shaka tutakujaribuni mpaka tuwadhihirishe wapignao Jihadi katika nyinyi na wanao subiri. Nasi tutazifanyia mtihani khabari zenu (31)} Sadaqa Allah Al3adhim [Muhammad].
{ وَلَنَبْلُوَنَّكُمْ حَتَّىٰ نَعْلَمَ الْمُجَاهِدِينَ مِنكُمْ وَالصَّابِرِينَ وَنَبْلُوَ أَخْبَارَكُمْ (31) } صدق الله العظيم [محمد]

Na hio ni kichuju kutoka kwa Allah kwa yaliyomo ndani ya vifuwa venu kutokana na kuamini kwa ahdi ya Allah na yaqin kwa hakika ya Arrahman, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ili Mwenyezi Mungu ayajaribu yaliyomo vifuani mwenu, na asafishe yaliyomo nyoyoni mwenu. Na Mwenyezi Mungu anayajua yaliyomo vifuani} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:154].
{ وَلِيَبْتَلِيَ اللَّهُ مَا فِي صُدُورِكُمْ وَلِيُمَحِّصَ مَا فِي قُلُوبِكُمْ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِذَاتِ الصُّدُورِ } صدق الله العظيم [آل عمران:154]

Na enye umma Wa kislamu enye munao hiji nyumba ya Allah Alharam, Bado tuko vile vile tunawalingania kwa kumabudu Allah peke yake hana mshirika na yeye kama yatakiwa kumabudu, Na huwenda anataka kusema moja katika waulizaji: "Hebu taratibu kidogo ewe Naseer Muhammad waislamu kwani si wanamwabudu Allah bila kumshirikisha?". Na kutoka hapo anampa jibu Alimam Naseer Muhammad na nasema; Wingi wao wamighafilika, Na wanao mwabudu kati yao hawamwabudu Allah ila wanatarajia shafa3a ya waja wake pasi na yeye! Kwa mana hawaamini wingi wao kwa Aallah ila Wamshirikishe Mola wao kwa waja wake walio karibu, Na Akasema Allah Ta3ala:
{Na wengi katika wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina (106)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf].
{ وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِاللَّهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ (106) } صدق الله العظيم [يوسف]

Na ni mara ngapi tumiwapa nasaha na tukawambia mcheni Allah na kufuruni kwa kushafa3iwa kwa waja mbele ya mikono ya Mola Mlezi Anae Abudiwa na mutosheke na Rahma ya Allah kuwa Awaokowe na moto wake kwa Rahma yake na Awaingize pepo yake kwa Rahma Yake, Na haikuwa jibu lao ila wamisema: "Sisi tunamini kwa Rehma ya Allah lakini wewe unatuamuru tukufuru kwa sahafa3a ya waja mbele ya Mumba Anae Abudiwa". Na kutoka hapo anawapa jibu Alimam Almahdi kwa wale hawaamini ila wao mushrikin na nasema: Hayo maneno munao sema manake si mwatarajia kushufa3iwa na waja walio karibu na Mola wao awashufa3ie kwa Allah? Na twawacha jibu moja kwa moja litoke kutoka kwa Mola wenu Mlezi kutoka kwa muhkam ilio wazi maama yake kitab, Amsema Allah Ta3ala:
{Na waonye kwayo wanao ogopa kuwa watakusanywa kwa Mola wao Mlezi, hali kuwa hawana mlinzi wala mwombezi isipo kuwa Yeye, ili wapate kuchamngu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:51].
{ وَأَنذِرۡ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحۡشَرُوا۟ إِلَى رَبِّهِمۡ لَيۡسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِىٌّ وَلاَ شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمۡ يَتَّقُونَ } [الأنعام:51]

Na Akasema Allah Ta3ala:
{Enyi mlio amini! Toeni katika tulivyo kupeni kabla haijafika Siku ambayo hapatakuwapo biashara, wala urafiki, wala uombezi. Na makafiri ndio madhaalimu} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara:254].
{ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ ءَامَنُوا أَنْفِقُوا مِمَّا رَزَقْنَاكُمْ مِنْ قَبْلِ أَنْ يَأْتِيَ يَوْمٌ لَا بَيْعٌ فِيهِ وَلَا خُلَّةٌ وَلَا شَفَاعَةٌ } [البقرة:254]

Na huwenda moja kati ya waulizaji kutaka kusema: "Ewe Naseer Muhammad, Kwani si Amisema Allah Ta3ala:
{Na wako Malaika wangapi mbinguni, ambao uombezi wao hautafaa chochote isipo kuwa baada ya Mwenyezi Mungu kutoa idhini kwa amtakaye} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnajm:26].
{وَكَمْ مِنْ مَلَكٍ فِي السَّمَوَاتِ لَا تُغْنِي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئًا إِلَّا مِنْ بَعْدِ أَنْ يَأْذَنَ اللَّهُ لِمَنْ يَشَاءُ} [النجم:26]؟


Na kutoka hapo awapa jibu kwa waulizaji Alimam Almahdi Naseer Muhammad Alyamani na nasema: Hio ndio idhni kwajili kupatikane shafa3a kwa nafsi ya Allah ndio itawa'shufa3ia kwenu Rahma ya Allah ndani ya Nafsi Yake kwa ghadhabu zake na 3adhabu yake kwa kuwa Allah ndio Arrhama Arrahimin mwenye huruma zaidi kuliko kila kitu, Basi kuweni na tama kuwa iwashufa3ie Rahma ya Allah kutokana na ghadhabu yake na 3adhabu yake ikiwa nyinyi munamwabudu Yeye, Mujuwe kuwa shafa3a ni ya Allah yote ndipo itawashufa3ia Rahma yake kutokana na ghadhabu na 3adhabu yake ikiwa nyinyi muna mwa amini kuwa kweli Allah ndio Arrhama Arrahimin, Basi tarajieni shafa3a ya Rahma yake, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala
{Sema: Uombezi wote uko kwa Mwenyezi Mungu. Ni wake Yeye tu ufalme wa mbingu na ardhi. Kisha mtarejeshwa kwake} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur:44].
{ قُل لِّلَّهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا لَّهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ } صدق الله العظيم [الزمر:44]

Na bado Alimam Almahdi Naseer Muhammad Alyamani ana fanya jihad kwa Alquran Almuhakam jihadi kubwa sana kwenye ulinganizi kwa Allah kwa basira kutoka kwa Allah na sunna ya Mtume wake ya haki lakini wengi katika wale hawa amini kwa Allah mpaka wamshirikishe wanachukia ulinganizi wetu na wanatujadili kwa yalio fanana katika Alquran kwenye utajo wa kupatikana shafa3a, Wakadhani kuwa shafa3a moja kwa moja inamomba Allah alafu anwaitikia subhanahu Amitukuka! Na haikuwa kwa yoyote katika waja wake ni mwenye huruma zaidi kwa waja wake kuliko Allah Arrhama Arrahimin mwenye huruma zaidi, Na wamikataa kata kata ila mpaka wafwate yalio fanana katika utajo wa shafa3a kwakuwa kwenye moyo wao wana zaigh kutokana na haki katika uwazi wa kitabu kilo bainika wazi, Ama yalio fanana katika Alquran Al3adhim katika utajo wa shafa3a ni kuwa anakusudia kuhakikisha kupatikane shafa3a katika Nafsi ya Allah ndipo itawashufa3ia nyinyi Rahma Yake kutokana na ghadhabu na adhabu yake, Kusadikisha haya katika kauli yake Allah Ta3ala;
{Sema: Uombezi wote uko kwa Mwenyezi Mungu. Ni wake Yeye tu ufalme wa mbingu na ardhi. Kisha mtarejeshwa kwake} Sadaqa Allah Al3adhim.
{ قُل لِّلَّهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا لَّهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ } صدق الله العظيم

Kwakuwa Yeye ni Mweny huruma zaidi kwa waja wake Mwenye kuamini kati yao kwa Rahma Ya Mola wake Mlezi, Na ama yule alio kufuru kwa Rahma Ya Allah na akataka Rahma mbele Yake kutaka kwa wale chini ya Allah kwa rahma huruma basi hatopata kwao pasi na Allah yoyote wali ama mweny kunusuru, Na mutaenda mutajuwa..
Basi mujikusanye kwa mazungumzo na pigeni hoja kwa hoja inao nyamazisha kama anavo fanya Alimam Almahdi Naseer Muhammad Alyamani

Na tunawangazia walimwengu ilimu kuwa mimi ni Alimam Almahdi Naseer Muhammad sina kitu ispokuwa yale alio kuja nayo Muhammad Mtume wa Allah sala Allahu aleyhi wa ala alihi wasalam, Na amikuja anasadikisha ulinganizi wa manabi na Mitume wote, basi kusanyikeni enye waislamu na manasara na mayahudi kwa kuhukumu kwa muhkam ilio w

azi maana yake Alquran Al3adhim ikiwa nyinyi munakiamini, Na pindi mukikataa basi sina kitabu kipya nijadiliane na nyinyi nacho, Na sina ispokuwa bayana ya haki ya Alquran Al3adhim, Wala sijaja na mapya; Bali natowa kwa nachunguza undani bayana ya Alquran kwa Alquran na nawaletea ushuhuda ilio wazi inao bainika kwa wanazuoni wenu na watu wa kawaida na kwa kila mwenye ulimi wa kiarabu iliobaini, Basi ikiwa hoja ni yenu leteni ushuhuda inao bainika ikiwa nyinyi ni wakweli, Na ikiwa imismamishwa hoja ju yenu na mukakufuru basi hukumu ni ya Allah na yeye mbora wakuamuwa, Na salam ju ya mitume na Alhamdulillah Rabilalamin.

Na bado Alimam Almahdi Naseer Muhammad Alyamani
Anawalingania waislamu wakanushe uwingi wa madhehebu katika dini ya Allah Alislam, Na kukanusha wingi wa viyama va kisiyasa kwakuwa mgawanyiko wenu kwa mapoti na viyama haitowaletea kwenu ispokuwa kushindwa na kufeli basi hamuti akili? Basi mushikane kwa kamba ya Allah Alquran Al3adhim na wala musifarikiane kwa mapoti na makundi na kila chama kwa walionayo wanafurahia, Basi itikieni kwa yule anae waita kwa umoja wa safu ya kislamu
Na haikuwa kwa Alimam Almahdi wa haki kutoka kwa Mola wenu kuwalingania katika moja ya madhehebu yenu ambao muloileta kutokakana na nafsi zenu ambapo hajateremsha Allah utawala kwa hayo kutoka muhkam iliwazi Alquran Al3adhim, Je Amiwamuru Allah mugawanye dini yenu kwa jina munao ita madhebu "bali Amiwakataza kutengana katika dini. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye (13)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ashura].
{ شَرَعَ لَكُم مِّنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ أَنْ أَقِيمُوا الدِّينَ وَلَا تَتَفَرَّقُوا فِيهِ كَبُرَ عَلَى الْمُشْرِكِينَ مَا تَدْعُوهُمْ إِلَيْهِ اللَّـهُ يَجْتَبِي إِلَيْهِ مَن يَشَاءُ وَيَهْدِي إِلَيْهِ مَن يُنِيبُ ﴿١٣﴾ } صدق الله العظيم [الشورى]

Na enye ma3ashara ya ma shiaa na ma sunni kwa madhehebu zenu zote, Mcheni Allah na muitike kwa mwito wa kuhukumiwa kwa Alquran Al3adhim ili i7huishe nyoyo zenu zilo kufa Almaita, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la kukupeni uzima wa milele. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake, na kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal:24].
{ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اسْتَجِيبُوا لِلَّـهِ وَلِلرَّسُولِ إِذَا دَعَاكُمْ لِمَا يُحْيِيكُمْ وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ يَحُولُ بَيْنَ الْمَرْءِ وَقَلْبِهِ وَأَنَّهُ إِلَيْهِ تُحْشَرُونَ }
صدق الله العظيم [الأنفال:24]

Hakika wallahi yule ambae hapana Mola pasi na Yeye hatoitikia mwito wa Ali7htikam kuhukumu kwa mu7hkam Alkitab ilio wazi baini kitabu cha Allah Alquran Al3adhim na akaifwata ispokuwa yule ambae Allah amim7huisha moyo wake kwa nuru ya bayana kwa haki ya Alquran Al3adhim ambayo ninwaonya nayo huwenda mukawa wachaji, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3al:
{ ila ni ukumbusho na Qur'ani inayo bainisha (69) Ili imwonye aliye hai, na neno litimie juu ya makafiri(70)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].
{ إِنْ هُوَ إِلا ذِكْرٌ وَقُرْآنٌ مُبِينٌ (69) لِيُنْذِرَ مَنْ كَانَ حَيًّا وَيَحِقَّ الْقَوْلُ عَلَى الْكَافِرِينَ (70) } صدق الله العظيم [يس]
Na ama waliokanusha wanapinga basi wao kama waliokufa Maiti. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{Wala hawalingani walio hai na maiti. Hakika Mwenyezi Mungu humsikilizisha amtakaye. Wala wewe si wa kuwasikilizisha walio makaburini} Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir:22].
{ وَمَا يَسْتَوِي الأَحْيَاء وَلا الأَمْوَاتُ إِنَّ اللَّهَ يُسْمِعُ مَن يَشَاء وَمَا أَنتَ بِمُسْمِعٍ مَّن فِي الْقُبُورِ } صدق الله العظيم [فاطر:22]

Na bado Almahdi Almuntadhar anawajahid kwa mu7hkam Alkitab kilio wazi na kubaini jihadi kubwa madamu niko bado hai, Na namhimidi kumshukuru Mola wangu kwa kuendelea kuishi kwajili ya Allah ili ipatikane lengo kuu, Na Anakataa Allah ila Atimize Nuru yake hata kama watachukia wahalifu kudhihirika kwake na ikiwa muna njama basi fanyeni njama zenu alafu musiangalie

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin..

Mwenye kulingania kwa njia ilio nyoka Alimam Almahdi Naseer Muhammad Al'Yamani.
الداعي إلى صراطٍ مستقيمٍ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ