Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
ـــــــــــــــــــــ


نصيحة المهديّ إلى من يريد الحقّ ..
Nasaha Ya Al’Mahdi Kwa Yule Ataka Haki




Na Nitakunasihi Nasaha kwajili Ya Uso Wa Allah Nayo Ni:
Kwamba utake kwa Mola Mlezi wako ikiwa kweli wataka haki basi uifwate, Na Wallahi hakuna atakae kukuonesha haki ispokua Al’Haq yule ambae Anaongoza kwa haki Mola Mlezi wangu Na Mola Mlezi wako Ambae Anazunguka baina ya mja na Moyo wake na yule ambae kwake mutakusanywa, Basi utake kulekea kwa Allah na useme:” Allahuma hakika Wewe Ni Haki, Basi ikiwa wajua kwamba mja wako anataka kujua haki ili aifwate, Allahuma basi nioneshe haki na uniongoze nayo hakika Wewe Ni Mweny Kusikia Mwenye Kujua”.


Na Alafu pleleza na utafakari katika Bayana za Nasser Muhammad Al’Yamani upelelezi wa akili na mantik usawa alafu atakuonesha Allah kwa haki basi utaiona wazi imetokezea kama lau wangalia jua pindi linapo chomoza basi laondoka giza alafu utashanga kwa waislamu vipi hawamwamini Nasser Muhammad Al’Yamani kwamba yeye kweli ni Al’Imam Al’Mahdi Kwajili wewe unaona kwamba Bayana zake kwa kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim ni haki hakuna shaka wala raib, Basi hio ndio uowongofu wa Allah ameweka kwenye moyo wako Nur ili uwone nayo haki, Kwajili ya hivo wayiona imetokezea wazi. Lakini wale ambao hawaoni haki na hivo ni kwasababu Allah hakuwajalia wao Nur ili waone nayo haki, Na yule hakumjalia Allah Nuru basi hana yeye Nuru na hapana na wala haitomsaidia yeye masikio yake na macho yake kitu.


Ndugu yenu; Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.

أخوك؛ الإمام ناصر محمد اليماني.

ـــــــــــــــــــــ